Noah inauzwa bei milioni 6.5

Noah inauzwa bei milioni 6.5

Joined
Sep 4, 2016
Posts
9
Reaction score
1
Haina shida yeyote ipo Dar kwa yeyote anayehitaji ambaye yupo serious anicheki 0713791233 au 0784791233
1473060520263.jpg
1473060557401.jpg
1473060598684.jpg
1473060623624.jpg
1473060656406.jpg
1473060691227.jpg
1473060719864.jpg
1473060736685.jpg
1473060759724.jpg
1473060789784.jpg
1473060827824.jpg
 
Pole mkuu.
Mtumiaji hakuwa na huruma kabisaa.
Manundu kila kona
 
Wanunuaji watakuwa wamekujia hewani
 
Wewe nawe. Hilo Lijimtori lako umuuzie nalo, Gari lina ngeo mlevi wa gongo. Fugia kuku baba ule mayai kuliko kuwauzia wenzio Tetenasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom