Noah au Hiace inahitajika Dar es Salaam

Noah au Hiace inahitajika Dar es Salaam

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Kwa ajili ya biashara Kati ya hiace au Noah nipigie 0714064767 tuongee kwa ajili ya malipo yako ya uendeshaji WA biashara ya wanafunzi
 
Kwa ajili ya biashara Kati ya hiace au Noah nipigie 0714064767 tuongee kwa ajili ya malipo yako ya uendeshaji WA biashara ya wanafunzi

Ujaeleweka mkuu, unataka kununua gari au unataka kukodi gari

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nic nakumbua uliwahi ku post hii mwezi uliopita inamaana mpakaleo leo haujapata gari?
Labda dau lako dogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom