Kwa kweli wanaboa, na delay kwao ni kitu cha kawaida, kwa mnaoenda abroad halafu mnakaa nje ya Dar es salaam tafadhali usithubutu kuunganisha yaani unatoka Mtwara siku hiyohiyo unaenda nje ya bongo utaambiwa flihgt itachelewa kwa saa moja, baada ya muda wansema itadelay kwa masaa mawili mwisho utasikia apologise haitakuwepo mpaka kesho halafu hawatoi Lunch wala accomodation yaani huku mtwara ndio balaa.