Mkuu hizo zilizoelezewa hapo ni uwezo wa mitambo kuzalisha. Lakini mitambo mingi katika hiyo haitaweza kuzalisha kwa sababu nyingi lakini kubwa ni kukesekana kwa nishati ya kuzalishia. Kwa nini nishati ya kuzalishia inakosekana..!? hiyo ni ishu nyingine sasa. Mgawo utakuwepo tu!