Mbona hii ni taarifa ya zamani sana na tulishaijadili humu.
Alafu msipitoshe, mchoraji ndie aliacha kazi pale gazetini ila gazeti lipo na linachora katuni za mtume kama kawa. Sababu alizotoa baada ya waislam wapenzi wa allah kuua wenzao yeye amebakia mwenyewe kwa hiyo analemewa na kazi.
Kinachowafurahisha ni nini hasa,kama ni katuni za mtume zanaendelea kuchorwa na hilo jarida ila mchoraji wa zamani ndio kaacha kazi.
Muhammed cartoons contest hamuijui?