Kwakuwa wameamua kushupaza shingo. Hawataki kufanya reforms.
Na kwakuwa mamlaka waliyonayo yanatoka kwetu sisi wananchi japo wao wanadhani yanatoka kwa 'WAHUNI' in Balozi Polepole's voice. Hebu sasa tuwaoneshe kwa vitendo kuwa hatuendi kupiga kura siku hiyo waliyoipanga.
Dhulma imezidi na lazima tuipinge kwa vitendo.
Election si ndo kuchagua kwa Kiswahili? Basi hatuendi kuchagua hiyo tarehe yao na kwakutokuchagua hiyo ndiyo No Election yenyewe.
Wajulishe ndugu na jamaa. Acha hizo familia zao 5 wakapange foleni wakapige hizo kura haramu kwenye uchaguzi haramu.