No Boot Device Found

chaggaa15

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
567
Reaction score
468
Wakuu computer yangu nkiwasha inaniandikia No BOOT DEVICE FOUND na niipress any key inarudi hapo hapo... Msaada wenu wakuu itakuwa na shida gani[emoji24]
 
Window haionekan means inashda nenda kwa fund ataweka ingine mm week iliyopita ilinifanyia hvyo nimeenda kuwasha kwa bootable CD au flash
 
Window haionekan means inashda nenda kwa fund ataweka ingine mm week iliyopita ilinifanyia hvyo nimeenda kuwasha kwa bootable CD au flash
Mida mida HDD inakuwaga imekaa vibaya kutokana na mtikisiko au imekufa kabisa.
 
Assumption one.

Pc yako haioni bootable media yoyote. mfano wa Bootable media, Pc Hdd, Optical drive disk, Removable/ Usb FDD, NIC card, Floppy na nyingine.

Simply ni kwamba, Computer ikiwaka huwa BIOS inatafuta Sehemu kwenye Windows/ operating system ili iwake. Hivyo hukagua sehemu hizo zote na ikiona hakuna OS inasema no bootable device.

Unachatakiwa kufanya ni kwenda BIOS kisha kwenye Boot ma kuset boot priorty na priority ya Kwanza weka PC HDD. Kisha save na uwashe mashine

Halafu chek inasemaje. Kama jibu ni hilo hilo basi ndo ujue kuwa HDD yako huenda ime corrupt au imekufa.

Hivyo tafuta Windows na ujaribu kupiga
 
Ishu ya harakaharaka ni hivi. Utakua umetoka kushusha window siku za karibun na ukasahau ku priotize boot sequence. Inakuambia hvyo coz ya sababu kuu mbili. Either hdd ina matatzo. Au umeweka cd au flash disk kwa hyo system inasoma kwenye either cd au flash disk wakat hazina os. Kama ni chomoa flash disk na vilevile toa cd. Baada ya hapo itawaka
 
Wala hdd haijafa, unapoona tatizo anza troubleshooting simple to complex sasa mnamtisha huyu jamaa balaa, kama wewe sio mtaalam wa computer dont try kwenda kwenye bios utaona mataa tu kule. Cha kufanya nenda kwa mtu alolipa ada akasomea ICT na wewe ukachangie uchakavu akurekebishie pc yako. Normaly huwa ni bios imepoteza point ya kwenye Active directory ambamo os ndo hukaa, hivyo ikiwaka haiwezi kuiona hdd
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…