Nnape akamata meno ya tembo!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,914
Mkuu wa wilaya nnape nauye amekamata bus la buffalo lenye nyara za serikali meno ya ndovu likitoka Tunduru kwenda Dar es salaam!
 
Anajenga jina inawezekana alidokezwa kuwa polisi wamekula rushwa mzigo unapitishwa hapa siku fulani....huwa inakuwaga hivyo anajenga jina..ajitahidi sana yule alitakiwa awe mbunge wetu ubungo walahi basi tu alipoenguliwa tukahamia chadema wooote vijana sasa tu chadema nnape nae atarejea chadema soon tunammsubiria
 
juzi juzi kamwazibu mzembe kwa kukaidi agizo la kulima heka 1 leo meno ya tembo safi sana nenda na speed hyo
 
wazee wa intelijensia hawakuwa na intelijensia? Mpaka mkuu wa wilaya anawasaidia kazi! intelijensia my foot. . .lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…