Kemby
Member
- Oct 5, 2013
- 28
- 14
Habari za Leo wakuu?!!! Kama kichwa cha bhabari kinavyojieleza, hatimaye zile chenji chenji zimefika mbali nahitaji miongoni mwa magari haya Spacio ya 2001/2002, rav 4 short chasis, Raum, Opa n.k ili mradi iwe katika hali nzuri. Unaweza Ni Pm au kuweka maelezo yako hapa Jukwaani. Nawasilisha.
N.B naomba kujuzwa kuhusu hizi gari, mazda demio za mwaka 2003, kwa wanaozifahamu zipi ubora wake na matatizo yake?
N.B naomba kujuzwa kuhusu hizi gari, mazda demio za mwaka 2003, kwa wanaozifahamu zipi ubora wake na matatizo yake?