Amtongoze rafiki wa huyo demu.
Madem wengine bila kua king'ang'a hubandui, asisahau vizawadi zawadi mkono mtupu haulambwi...
Habar wana mmu..nna rafk angu ambaye ametokea kumpenda sana msichana mmoja hv and amefanya kila kitu kujaribu kumshawish lakn imeshndkana kumpata. Kw sasa n zaid ya miez 6 imepita wanawasaliana vzr tu bt dem anahtaj only friendshp.je aendelea kukomaa au apotezee