mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Nimevuta picha sabuni na maji kwenye mwendokasiwana JF,
Ukiingia NMB mlangoni unakuta mtu wa kukuelekeza kunawa mikono kwa kujipaka dawa fulani hivi kama sabuni alafu unaendelea na shughuli zako, sasa hizi benki nyingine hakuna huduma hivyo wanagonja nini?
Taadhali zinaanzia kwenye mikusanyiko naona sasa kila basi zote zibebe sabuni hizi kabla ya kushika mabomba. watanzania tabia ya kujikuna uso haikwepeki kwani jasho la joto limetapakaa.
si wanaifunga sehemu za kuingiaNimevuta picha sabuni na maji kwenye mwendokasi
Ushawahi panda mwendokasi mkuu?si wanaifunga sehemu za kuingia
Kunawa sio shida maana utashika hela ambazo zina uwezekano wa hivyo virusi. Na pia watakiwa unawe mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi Corona haizuiliwi/kukingwa na sabuni tu, we hata ukinawa ukifika kaunta unagusa kwa mkono, kuandika karatasi ya deposit/withdraw lazima uishike, kufungua mlango wa kuingia/kutoka, kwenye usafiri wa umma nkwana JF,
Ukiingia NMB mlangoni unakuta mtu wa kukuelekeza kunawa mikono kwa kujipaka dawa fulani hivi kama sabuni alafu unaendelea na shughuli zako, sasa hizi benki nyingine hakuna huduma hivyo wanagonja nini?
Taadhali zinaanzia kwenye mikusanyiko naona sasa kila basi zote zibebe sabuni hizi kabla ya kushika mabomba. watanzania tabia ya kujikuna uso haikwepeki kwani jasho la joto limetapakaa.
Nadhan hajawai mkuu afike tu kimara asubui afu aone kama hiyo sabuni haijakanyagwa na kutupwa kabisa kwenye zile purukushan za kupata walau nafasi tu mtu ajishkize afike jobUshawahi panda mwendokasi mkuu?