Menyu ya NMB kwq mwaka huu 2023 ni changamoto sana.
Haina developing program ambapo kipindi cha nyuma ilikuwa ikikupatia mbadala wa muendelezo wa mihamala hata zaidi ya mmoja au ukishamaliza ni kurudi nyuma tu na kuangalia salio kujua wamekata gharama kiasi gani.