heshima mbele wadau,,,,
Leo mida ya saa tisa Nilihamisha pesa kiasi cha shiling Laki 440,,,,Kutoka akaunti yangu ya tigopesa kwenda kwenye akaunti yangu ya NMB chakushangaza mpaka sasa pesa haijafika kwenye akaunti yangu ya benki sijajua tatizo ni nin na wahudumu wamekuwa na majibu mepesi,,,msaada natakiwa kufanya nini kwa anayefaham