Kuharibu vp mkuu, yaan ni hivi ukiweka menu yao ya nmb mobile ×150*66# inajibu huduma hiyo haipatikan kwa sasa wala uko kwenye salary advance haufik mkuu
Ndo hivo mzee.. tatizo ka hilo lilinikita leo, nimewasiliana na nmb, wameniambia hadi niwe na credit kwenye sim kuanzia 100 na kuendelea ndo nmb mobile banking inafunguka

Mkuu kwa upande wako upo sahihi kabisa kwamba wewe unataka kuona tu kama nmb mobile inafunguka, ila hili la kusema kitu cha salary advance linatuhusu sisi tunaowaza nje ya box. sawasawa?