me naomba inigusie apo kwenye field maana ndo tunakaribia kufanya so sijui inakuaje nope info kidogo
kuna kuwa na aptitude test , hapo asikudangany mtu akili mukichwa , ukija unajua kama hujui hujui hazinaga fomula , hesb za kitoto na logic za hapa na pale , siye tulifany mor than 70 tukaitw 25 , baaadaye inakuj oral , kikubwa ni kuelew field yako kiundan