NMB Advance Salary siyo yakutegemea sana inaweza kukufelisha

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,308
35,852
Kama hujaset mipango yako fresh afu unavizia Advance Salary toka NMB utaumbuka jamaa hawa aminiki. Kuna njemba imelipia mzigo toka juzi ikaahidi kesho anakuja kumalizia kumbe alikua anavizia Advance Salary Sasa kule NMB wamegoma kutoa kanipigia simu nimpunguzie pesa aliyotoa ili enjoy Idd Elftr na familia. tuweke akiba ya pesa usile mpaka mbegu utaibika mjini



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahahahaha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
True wamegoma kutoa nadhani wamezidiwa sababu ya sikukuu hizi mvumilie
 
Familia haijui baba kaishiwa unaambiwa ngoja baba aje,au we si mwanaume pambana.Thus Mimi mwanaume mwenzangu akinililia shida huwa namsaidia sababu najua.Bila mwanaume Hakuna luku,maji,nauli,nk.Mjini unaamka pesa,unalala pesa.
 
Hatufanani katika majukumu ya kila mwezi, ni kweli unaweza kuwa na mradi, ila kuna wakati pesa zinahitajika zaidi. Hivyo kwa kuwa Shida hazifanani kwa wakati mmoja tutapishana pia wakati wa kuhitaji mkopo.

Mimi nilikua sichukui, hela hiyo ila sasa huu mwezi wa pili nachukua tena mapema tu, siyo kwasababu natumia vibaya hapana, mambo mengi yasiyokwepeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu hii kuna Watu watakuwa MABILIONEA wa kutisha tangu uhuru wa TANGANYIKA mwaka 1961 kuzaliwa.

Dotto James , Daudi Albert Bashite Yohana Mapadlock Multimillionaires!!!
 
Kwanini unaficha ficha Mkuu? Wakati wewe mwenyewe ndiyo mkopaji? Puumbavu.
 
Ni kweli kabisa ukipata dharura kukopa ni njia rahisi ya kupata fedha haraka. Lakini ni vema kutokua na tabia ya kukopa kwa vitu ambavyo sio dharura.
 
Familia haijui baba kaishiwa unaambiwa ngoja baba aje,au we si mwanaume pambana.Thus Mimi mwanaume mwenzangu akinililia shida huwa namsaidia sababu najua.Bila mwanaume Hakuna luku,maji,nauli,nk.Mjini unaamka pesa,unalala pesa.
Sure kabisaaaa hata uwe na mwanamke anafanya Kaz

kilicho akilini kitumie
 
wewe ndio pimbi kabisa,ufeli wewe kwenye maisha ulaumu mtu mwingine.Nani alikwambia kwenda kuchukua mikopo ukatumia hela ovyoovyo au ulijiona umekuwa billionea?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, just kidding!!
umeua mkuu,mtu akiajiriwa tu anakimbilia kukopa yakimkuta anaanza kulaumu serikali,ni upumbavu wa hali ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…