NMB Advance Salary siyo yakutegemea sana inaweza kukufelisha

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,356
2,000
Kama hujaset mipango yako fresh afu unavizia Advance Salary toka NMB utaumbuka jamaa hawa aminiki. Kuna njemba imelipia mzigo toka juzi ikaahidi kesho anakuja kumalizia kumbe alikua anavizia Advance Salary Sasa kule NMB wamegoma kutoa kanipigia simu nimpunguzie pesa aliyotoa ili enjoy Idd Elftr na familia. tuweke akiba ya pesa usile mpaka mbegu utaibika mjini
tenor(29).gifSent using Jamii Forums mobile app
 
High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,129
2,000
Kama hujaset mipango yako fresh afu unavizia Advance Salary toka NMB utaumbuka jamaa hawa aminiki. Kuna njemba imelipia mzigo toka juzi ikaahidi kesho anakuja kumalizia kumbe alikua anavizia Advance Salary Sasa kule NMB wamegoma kutoa kanipigia simu nimpunguzie pesa aliyotoa ili enjoy Idd Elftr na familia. tuweke akiba ya pesa usile mpaka mbegu utaibika mjini View attachment 1458646

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
6,173

😂 😂 😂 😂
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,337

True wamegoma kutoa nadhani wamezidiwa sababu ya sikukuu hizi mvumilie
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,337
2,000
Mkuu kuna wakati maisha yanasimama wima, achana na hiyo ya kuweka akiba sometimes unakosa hata ya kuendesha maisha.
Hiyo huduma sometimes huwa inasumbua sujui network au uhuni wao tu.
Hakuna mwenye kupenda shida ila mahitaji yako palepale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Familia haijui baba kaishiwa unaambiwa ngoja baba aje,au we si mwanaume pambana.Thus Mimi mwanaume mwenzangu akinililia shida huwa namsaidia sababu najua.Bila mwanaume Hakuna luku,maji,nauli,nk.Mjini unaamka pesa,unalala pesa.
 
mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
558
1,000
Dah, wazee mnatisha, Doto si amelipa mishahara tarehe 22 tu hapo? Leo tumeshaanza kuchukua salary advance?
Tujitahidi kutafuta shughuli za ziada, kama mkeo ni mama wa nyumbani mfundishe shughuli yoyote itakayoingiza kipato nyumbani, hata kama ni kidogo tu.
 
Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
3,752

Hatufanani katika majukumu ya kila mwezi, ni kweli unaweza kuwa na mradi, ila kuna wakati pesa zinahitajika zaidi. Hivyo kwa kuwa Shida hazifanani kwa wakati mmoja tutapishana pia wakati wa kuhitaji mkopo.

Mimi nilikua sichukui, hela hiyo ila sasa huu mwezi wa pili nachukua tena mapema tu, siyo kwasababu natumia vibaya hapana, mambo mengi yasiyokwepeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
5,563
2,000
Dah, wazee mnatisha, Doto si amelipa mishahara tarehe 22 tu hapo? Leo tumeshaanza kuchukua salary advance?
Tujitahidi kutafuta shughuli za ziada, kama mkeo ni mama wa nyumbani mfundishe shughuli yoyote itakayoingiza kipato nyumbani, hata kama ni kidogo tu.
Awamu hii kuna Watu watakuwa MABILIONEA wa kutisha tangu uhuru wa TANGANYIKA mwaka 1961 kuzaliwa.

Dotto James , Daudi Albert Bashite Yohana Mapadlock Multimillionaires!!!
 
mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
558
1,000
Awamu hii kuna Watu watakuwa MABILIONEA wa kutisha tangu uhuru wa TANGANYIKA mwaka 1961 kuzaliwa.

Dotto James , Daudi Albert Bashite Yohana Mapadlock Multimillionaires(USD)!!!
Yaani acha tu, tuombe miaka 10 ya huyu ndugu iishe, kisha ashindwe kumrithisha urais kibaraka wake ili tuweze kusafisha nyumba.
 
Jimbi

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
2,181
2,000
Kama hujaset mipango yako fresh afu unavizia Advance Salary toka NMB utaumbuka jamaa hawa aminiki. Kuna njemba imelipia mzigo toka juzi ikaahidi kesho anakuja kumalizia kumbe alikua anavizia Advance Salary Sasa kule NMB wamegoma kutoa kanipigia simu nimpunguzie pesa aliyotoa ili enjoy Idd Elftr na familia. tuweke akiba ya pesa usile mpaka mbegu utaibika mjini View attachment 1458646

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unaficha ficha Mkuu? Wakati wewe mwenyewe ndiyo mkopaji? Puumbavu.
 
mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
558
1,000
Hatufanani katika majukumu ya kila mwezi, ni kweli unaweza kuwa na mradi, ila kuna wakati pesa zinahitajika zaidi. Hivyo kwa kuwa Shida hazifanani kwa wakati mmoja tutapishana pia wakati wa kuhitaji mkopo.

Mimi nilikua sichukui, hela hiyo ila sasa huu mwezi wa pili nachukua tena mapema tu, siyo kwasababu natumia vibaya hapana, mambo mengi yasiyokwepeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa ukipata dharura kukopa ni njia rahisi ya kupata fedha haraka. Lakini ni vema kutokua na tabia ya kukopa kwa vitu ambavyo sio dharura.
 
black hawk87

JF-Expert Member
Jan 25, 2020
453
1,000
Familia haijui baba kaishiwa unaambiwa ngoja baba aje,au we si mwanaume pambana.Thus Mimi mwanaume mwenzangu akinililia shida huwa namsaidia sababu najua.Bila mwanaume Hakuna luku,maji,nauli,nk.Mjini unaamka pesa,unalala pesa.
Sure kabisaaaa hata uwe na mwanamke anafanya Kaz

kilicho akilini kitumie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom