NMB Advance Salary siyo yakutegemea sana inaweza kukufelisha

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,171
35,492
Kama hujaset mipango yako fresh afu unavizia Advance Salary toka NMB utaumbuka jamaa hawa aminiki. Kuna njemba imelipia mzigo toka juzi ikaahidi kesho anakuja kumalizia kumbe alikua anavizia Advance Salary Sasa kule NMB wamegoma kutoa kanipigia simu nimpunguzie pesa aliyotoa ili enjoy Idd Elftr na familia. tuweke akiba ya pesa usile mpaka mbegu utaibika mjini
tenor(29).gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujaset mipango yako fresh afu unavizia Advance Salary toka NMB utaumbuka jamaa hawa aminiki. Kuna njemba imelipia mzigo toka juzi ikaahidi kesho anakuja kumalizia kumbe alikua anavizia Advance Salary Sasa kule NMB wamegoma kutoa kanipigia simu nimpunguzie pesa aliyotoa ili enjoy Idd Elftr na familia. tuweke akiba ya pesa usile mpaka mbegu utaibika mjiniView attachment 1458646

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahaha

😂 😂 😂 😂
 
True wamegoma kutoa nadhani wamezidiwa sababu ya sikukuu hizi mvumilie
 
Mkuu kuna wakati maisha yanasimama wima, achana na hiyo ya kuweka akiba sometimes unakosa hata ya kuendesha maisha.
Hiyo huduma sometimes huwa inasumbua sujui network au uhuni wao tu.
Hakuna mwenye kupenda shida ila mahitaji yako palepale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Familia haijui baba kaishiwa unaambiwa ngoja baba aje,au we si mwanaume pambana.Thus Mimi mwanaume mwenzangu akinililia shida huwa namsaidia sababu najua.Bila mwanaume Hakuna luku,maji,nauli,nk.Mjini unaamka pesa,unalala pesa.
 
Dah, wazee mnatisha, Doto si amelipa mishahara tarehe 22 tu hapo? Leo tumeshaanza kuchukua salary advance?
Tujitahidi kutafuta shughuli za ziada, kama mkeo ni mama wa nyumbani mfundishe shughuli yoyote itakayoingiza kipato nyumbani, hata kama ni kidogo tu.
Hatufanani katika majukumu ya kila mwezi, ni kweli unaweza kuwa na mradi, ila kuna wakati pesa zinahitajika zaidi. Hivyo kwa kuwa Shida hazifanani kwa wakati mmoja tutapishana pia wakati wa kuhitaji mkopo.

Mimi nilikua sichukui, hela hiyo ila sasa huu mwezi wa pili nachukua tena mapema tu, siyo kwasababu natumia vibaya hapana, mambo mengi yasiyokwepeka.

Awamu hii kuna Watu watakuwa MABILIONEA wa kutisha tangu uhuru wa TANGANYIKA mwaka 1961 kuzaliwa.

Dotto James , Daudi Albert Bashite Yohana Mapadlock Multimillionaires!!!
 
Kama hujaset mipango yako fresh afu unavizia Advance Salary toka NMB utaumbuka jamaa hawa aminiki. Kuna njemba imelipia mzigo toka juzi ikaahidi kesho anakuja kumalizia kumbe alikua anavizia Advance Salary Sasa kule NMB wamegoma kutoa kanipigia simu nimpunguzie pesa aliyotoa ili enjoy Idd Elftr na familia. tuweke akiba ya pesa usile mpaka mbegu utaibika mjiniView attachment 1458646

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unaficha ficha Mkuu? Wakati wewe mwenyewe ndiyo mkopaji? Puumbavu.
 
Hatufanani katika majukumu ya kila mwezi, ni kweli unaweza kuwa na mradi, ila kuna wakati pesa zinahitajika zaidi. Hivyo kwa kuwa Shida hazifanani kwa wakati mmoja tutapishana pia wakati wa kuhitaji mkopo.

Mimi nilikua sichukui, hela hiyo ila sasa huu mwezi wa pili nachukua tena mapema tu, siyo kwasababu natumia vibaya hapana, mambo mengi yasiyokwepeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa ukipata dharura kukopa ni njia rahisi ya kupata fedha haraka. Lakini ni vema kutokua na tabia ya kukopa kwa vitu ambavyo sio dharura.
 
Familia haijui baba kaishiwa unaambiwa ngoja baba aje,au we si mwanaume pambana.Thus Mimi mwanaume mwenzangu akinililia shida huwa namsaidia sababu najua.Bila mwanaume Hakuna luku,maji,nauli,nk.Mjini unaamka pesa,unalala pesa.
Sure kabisaaaa hata uwe na mwanamke anafanya Kaz

kilicho akilini kitumie
 
wewe ndio pimbi kabisa,ufeli wewe kwenye maisha ulaumu mtu mwingine.Nani alikwambia kwenda kuchukua mikopo ukatumia hela ovyoovyo au ulijiona umekuwa billionea?😃😃😃, just kidding!!
umeua mkuu,mtu akiajiriwa tu anakimbilia kukopa yakimkuta anaanza kulaumu serikali,ni upumbavu wa hali ya juu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom