NLD Mtwara 'waibipu' UKAWA

Shaban Dede

Member
Joined
May 29, 2015
Posts
42
Reaction score
30
Wadau nisaidieni ukweli huu. Gazeti la Uhuru limeandika Nwenyekiti wa NLD taifa Mh Emmanuel Makaidi amejitoa UKAWA, je kuna ukweli wa hili? Nisaidieni 😛eace:

RIP CCM 2015

=================================


Chanzo: habarileo
 
Wameandika Makaidi ajitoa UKAWA hao hao wameandika Makaidi ajipa jimbo yeye na Mke wake sasa tuelewe lipi?
 
Mbona huyo ni kama tone la maji baharini, atoke tu hana impact hata kama kura za watu wake ziende upande mwingine
 
Sasa hivi ishu ni LOWASA V CCM. sidhani kama kuna tena anayeangalia nani kaenda wapi.Kwa kuwa EL ameshachukua form za UKAWA kuwania urais,Game over.Suala linabaki Edward vs CCM nani Zaidi.Nukta
 
Reactions: rr3
Taarifa ni ya mwenyekiti wa huko Mtwara na sio ya Makaidi,kwa hiyo inaonyesha jinsi gani miCCM ilivyokuwa mijinga eti imeanza kununua viongozi wa mikoa baada ya kuona issue za Dr. Slaa na Lipumba hazina impact yeyote ya kuwanusuru na kichapo hapo October.
 
Hilo gazeti gani kwanza kabla sijaandika chochote?
 
Iyo sisimizi huko mtwara ndio nani? Yan kwa akili yake huyo mwenyekiti wa NLD mtwara amehs ana power ya kutikisa UKAWA? Ha ha ha ameshindwa lipumba ataweza huyo ndorobo UKAWA.... Speed moja
 
Reactions: rr3
Akiachiwa mkoa mzima wa mTwara atashinda? hapa issue siyo tu kusimamisha mtu jimboni, issue ni kwamba ukisimama utashinda?
 
Reactions: rr3

Huyo mwenyekiti wa NLD Mtwara haoni kama chama chake kinabebwa na UKAWA? Haoni kama anamletea shida mwenyekiti wake wa Taifa ndani ya UKAWA? Watu wenyewe wanahesabika tu bado wanaleta figisufigisu. Hata gazeti lililoripoti lina moyo!!!
 
Reactions: rr3
Iyo sisimizi huko mtwara ndio nani? Yan kwa akili yake huyo mwenyekiti wa NLD mtwara amehs ana power ya kutikisa UKAWA? Ha ha ha ameshindwa lipumba ataweza huyo ndorobo UKAWA.... Speed moja

Tungemjuaje?
 
Habari hii iko uhuru na habari leo, subiri tu kidogo and will see how the end will justify the means kwa haya magazeti adui wa Watanzania na rafiki wa watawala!
 
Hivi kati ya uhuru na habari leo lipi gazeti la chama?....wajuvi wa mambo mniambie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…