Njooni mnijuze

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
90
Habarini wana Jf,

Mimi kabla sijaoa nilibahatika kuwa na msichana anajua mapenzi,anakata mauno huyo mpaka mtu mzima nilikuwa nadata.

Kwa bahati mbaya akaolewa kaniacha bila sababu yamsingi,ndipo nilipoamua kuoa huyu mke niliyenaye kwa sasa.Kinachonishangaza ni kuwa kwenye sex ni mvivu,alafu hajitumi kitandani kidogo/moja tu mtu kachoka.

Mpaka namkumbuka yule msichana ilikuwa 24 hrs service available inaniuma sana.Sipati raha kama enzi zile, sasa ebu niambieni kuwa fit sex ni nature au experience? nimfanyaje ili awe kama yule.
 
Mpe tuition atakuwa poa tuu...! Hawa ma mwasi si wajua hawajapitia jando but kama ukimuona wa this days anayajua mahanjumati basii kapitia miwa mingi sana ama alimpataga fundi..? But mbona hata huyo mkeo unaweza ukam train na akawa poa tuu
 
Mpeleke kwa huyo alieolewa akamfundishe namna alivyokuwa anakukatia kiuno kama feni mbovu.
 
Hamna aliyezaliwa anatembea lakini pia kumbuka watu hatulingani.
 
Tupa kuleee analeta mashauzi kwenye mautamu... kimoja kachoka kaolewa ili iweje sasa???
Au anakataga kwa mwengine kwako anajitia uvivu
 
Kwa hi kwenu ndo ulivofunzwa hivo na mshenga wako KUMUANIKA MKEOOOO HADHARANI????????

Hilo nalo la kushukuru WAKIMUONJA WANAKUSUSIA MWENYWEEEE! Kwanza kwa uvivu huo hata wazo la kuchepuka hana, maana inaonesha mwenyewe unamtoa kamasi tu. :lol:. Demu fundi ana tabu zake, wakimuonja wanataka kuchonga mzinga kabisaa. Unashngaa unapewa HONGERA nyingi ukiuliza za nini,unasikia aaaah hongera tu.
 
Usitupe shda wenzio humu, we mpk ulipoamua kuoa hukuona hilo kabla!!! au ulichukulia poah tu, au ndio ulioa kujipoza machungu ya aliekuacha!! Km uliamn utaweza kumudu madhaifu yake, bas endelea kuyavumilia. Hamna ushaur zaid ya kuvumilia tu matatzo uliohic utaweza kuyamudu.. carry your luggage!!
 
nina wasiwasi si mkewe ni gal wake tuu coz mwanaume ulieshiba uanaume hawezi kumwanika mke namna hii....
 
Hata nikimuamika mnamjua??...kikubwa Ni kunishaur na mbinu za kufanya
 
bwana weee..muambie mwenzio unataka nini,muambie mfanye mabadiliko ili wote mpate rahaa,mfundishe mwenziooo muelewane ili msichepukeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…