5 Nyingi JF-Expert Member Joined Nov 15, 2023 Posts 246 Reaction score 605 Nov 24, 2023 #1 Bei ya Kifurushi cha Azam ninachoweza kuangalia mechi ya leo (kifurushi cha wiki tu ili kesho niangalie ya makolo pia) Acheni ujuaji natoa onyo kwa wanaotaka kunielekeza kulipa cha mwezi.
Bei ya Kifurushi cha Azam ninachoweza kuangalia mechi ya leo (kifurushi cha wiki tu ili kesho niangalie ya makolo pia) Acheni ujuaji natoa onyo kwa wanaotaka kunielekeza kulipa cha mwezi.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,436 Nov 24, 2023 #3 5 Nyingi said: Bei ya Kifurushi cha Azam ninachoweza kuangalia mechi ya leo (kifurushi cha wiki tu ili kesho niangalie ya makolo pia) Acheni ujuaji natoa onyo kwa wanaotaka kunielekeza kulipa cha mwezi. Click to expand... 👀
5 Nyingi said: Bei ya Kifurushi cha Azam ninachoweza kuangalia mechi ya leo (kifurushi cha wiki tu ili kesho niangalie ya makolo pia) Acheni ujuaji natoa onyo kwa wanaotaka kunielekeza kulipa cha mwezi. Click to expand... 👀
5 Nyingi JF-Expert Member Joined Nov 15, 2023 Posts 246 Reaction score 605 Nov 24, 2023 Thread starter #4 Bujibuji Simba Nyamaume said: 👀 Click to expand... Fanyeni fasta basi
Machopaka Member Joined Aug 24, 2023 Posts 90 Reaction score 158 Nov 24, 2023 #5 Tafuta hela ww mwewe.. 5 Nyingi said: Jibu swali kenge wewe Click to expand...
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,705 Reaction score 10,215 Nov 24, 2023 #6 Kifurushi cha 25 hakina cha week,
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,705 Reaction score 10,215 Nov 24, 2023 #7 Lipa 25 au kama upo mjini lipa kwa Azam Pesa utalipa 22
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,716 Reaction score 32,498 Nov 24, 2023 #8 Mtu mkaliiii hela yenyewe huna! Ukintukana mwenyewe!!!
Machopaka Member Joined Aug 24, 2023 Posts 90 Reaction score 158 Nov 24, 2023 #9 5 Nyingi said: Nyie kenge inamaana hamjui? Click to expand... Ulinunua la nn hilo dish kama huna uwezo wa kulipia..acha kusumbua watu.
5 Nyingi said: Nyie kenge inamaana hamjui? Click to expand... Ulinunua la nn hilo dish kama huna uwezo wa kulipia..acha kusumbua watu.
N NGOSWE2 JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 1,424 Reaction score 1,713 Nov 24, 2023 #10 Machopaka said: Ulinunua la nn hilo dish kama huna uwezo wa kulipia..acha kusumbua watu. Click to expand... Anawauliza Kenge, na amesisitiza🤣🤣🤣
Machopaka said: Ulinunua la nn hilo dish kama huna uwezo wa kulipia..acha kusumbua watu. Click to expand... Anawauliza Kenge, na amesisitiza🤣🤣🤣
5 Nyingi JF-Expert Member Joined Nov 15, 2023 Posts 246 Reaction score 605 Nov 24, 2023 Thread starter #11 Beberu said: Kifurushi cha 25 hakina cha week, Click to expand... Siwezi lipia 25 Abadani, ngoja niende kwenye kibanda umiza
Beberu said: Kifurushi cha 25 hakina cha week, Click to expand... Siwezi lipia 25 Abadani, ngoja niende kwenye kibanda umiza
5 Nyingi JF-Expert Member Joined Nov 15, 2023 Posts 246 Reaction score 605 Nov 24, 2023 Thread starter #12 Machopaka said: Ulinunua la nn hilo dish kama huna uwezo wa kulipia..acha kusumbua watu. Click to expand... Nilinunua la urembo wa bati
Machopaka said: Ulinunua la nn hilo dish kama huna uwezo wa kulipia..acha kusumbua watu. Click to expand... Nilinunua la urembo wa bati
Satirical Yet Awesome JF-Expert Member Joined Oct 11, 2023 Posts 727 Reaction score 1,849 Nov 24, 2023 #13 5 Nyingi said: Bei ya Kifurushi cha Azam ninachoweza kuangalia mechi ya leo (kifurushi cha wiki tu ili kesho niangalie ya makolo pia) Acheni ujuaji natoa onyo kwa wanaotaka kunielekeza kulipa cha mwezi. Click to expand... Oyaaa umenichekesha kis*nge mwanang
5 Nyingi said: Bei ya Kifurushi cha Azam ninachoweza kuangalia mechi ya leo (kifurushi cha wiki tu ili kesho niangalie ya makolo pia) Acheni ujuaji natoa onyo kwa wanaotaka kunielekeza kulipa cha mwezi. Click to expand... Oyaaa umenichekesha kis*nge mwanang
MoneyHeist4 JF-Expert Member Joined Jul 10, 2017 Posts 2,139 Reaction score 3,226 Nov 25, 2023 #14 Zbc 2 free
S Show Game JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 316 Reaction score 1,101 Nov 25, 2023 #15 5 Nyingi said: Jibu swali kenge wewe Click to expand... lipa cha aftatu kama goli za Jana kwa utopolo
5 Nyingi said: Jibu swali kenge wewe Click to expand... lipa cha aftatu kama goli za Jana kwa utopolo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,689 Nov 25, 2023 #16 Ngoja waje kukupa muongozo...