Ishu zote zenye faida kubwa huwa na risk kubwa pia e.g Madini,Narcotics,transport e.t.c,so cha muhimu ni kukomaa tu kama unahaja na hyo hela,take culculated risks.waswahili wanasema fuata nyuki ule asali.ukimfuata kwa tahadhari utafika mpaka kunako mzinga,ila ukienda kindezi utaambulia manundu