The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
inasikitishawadau wamejazana MMU na forum za udaku kule, tegemea 'kapa' hapa
Hii mada kila mtu ataandika code yake hapa ili kuonyesha reaction yoyote kwenye app,au web development mimi naanza na jinsi ya kuweka slide show kwenye website,application kwa kutumia javascript
doctype html>
karibuni ma programmaer ukiandika code zako hapa unaelezea kidogo zinafanyeje kazi ili kwa ambae hajui alewe Karibuni[/I]
programming ni dili sana sasa hv bongo aiseeNdio naanza mafunzo ya IT sibanduki hapa nipate ujuzi kutoka kwa wajuzi",..
mbona unaliaa?
karibu sanaNdio naanza mafunzo ya IT sibanduki hapa nipate ujuzi kutoka kwa wajuzi",..
Nipe mchongo... Asee mm niko na python & R for data analysis & visualization. Natumia anaconda distribution kwenye activities zangu. But still learning coz this thing is massive.... Aseeprogramming ni dili sana sasa hv bongo aisee