Sawa nitafanya hivyo kiongozi, japo nina uhakika na tangazo langu kwa sababu hata akitojea mtu kuona haina neno, anaweza kukiona ila nitajitahidi kuweka picha jana nilisahau kukipiga picha na wazo la kuuza limekuja leoEndelea kutafuta picha kwanza biashara ya kufanya biashara kwenye yalishapitwa lete picha
Ukijibiwa uniite tafadhaliMkuu kwa square mita 205 ni sawa na hatua ngap kwa ngap ?
Bwana Yesu Kristo asifiwe, ....
Asalaam aleykum......
Habari zenu wana jamii forums nauza kiwanja changu binafsi kipo mbezi ya kimara -Makabe zoezi la upimaji tayari ila hati bado hazijaja, nimekosa picha lakini kipo sehemu nzuri sana, na nitambarare, umeme na maji ya dawasco yapo hapo hapo hatua kumi na tano tokea kwenye kiwanja,
Njoo nikuuzie kwa bei ya kawaida tuu
Bei ni 5,500,000/= mazungumzo yapo kwa kuwa ni mm mwenyewe ndio muhusika,
Ukubwa wake ni Square meter 205
Mawasiliano: 0655112023
NB: KIWANJA NI KIZURI NA NI TAMBARARE KABISA
Pia kama kuna dalali atahitaji kusimamia hii kazi namkaribisha lengo langu ni kuuza kwa amani kabisa.
Kama mita 14 kwa 14 hivi. Fanya Square root ya hiyo aliyokupaMkuu kwa square mita 205 ni sawa na hatua ngap kwa ngap ?
NakaziaUkijibiwa uniite tafadhali
Bado umeniachaKama mita 14 kwa 14 hivi. Fanya Square root ya hiyo aliyokupa
Nakazia
Bado umeniacha
Shukrani! Hapo sasa nimeelewa na ngoja niisave hii kanuni ili nisihangaike tena siku nyingineYaani ==> 14.31782106327635 m x 14.31782106327635m = 205 mita za mraba
Yaani square root ya eneo zima inaweza kukupa idea ya urefu na Upana lakini inaweza pia kuwa mita 10 kwa mita 20.5
tulioko manyovu pia tuje mbezi kukiona halafu tuongee biashara?Sawa nitafanya hivyo kiongozi, japo nina uhakika na tangazo langu kwa sababu hata akitojea mtu kuona haina neno, anaweza kukiona ila nitajitahidi kuweka picha jana nilisahau kukipiga picha na wazo la kuuza limekuja leo