Infinity Solutions
Senior Member
- Apr 6, 2018
- 113
- 89
Ntafanya Hvyo Mkuu!nitafute!
Itategemea baada ya kupata logo utafanya kazi gani na sisi? mfano Logo then utahitaji kuprint tshirts, vitambulisho na business cards, hapo itawezekana mkuu. so niambie utahitaji kazi gani nyingine baada ya logo? Karibu sana.Logo ikifika elf 10 uniambie mkuu
Karibu sana mkuu, i will be more than glad to work with you.Ngoja nijipange nitakutafuta kwa logo mkuu
tshirts 5 itakuwa elfu 15 mkuu, logo elfu 30. jumla elfu 45 tu. naweza kukutolea elfu 3 hapo ukalipia elfu 42 na nikafanya delivery. karibu sana.Mkuu, nataka logo na t-shirts angalau tano kwa kuanzia!! Plain t-shirts za kwangu. Itanigharimu kiasi gani ?