Ninachosema hapa ni kwamba mimi nipo tayari kujibu maswali yoyote ulionayo CHOCHOTE kuhusu website. Na ntakusaidia BURE pale ninapowezaSijaelewa chochote
Nakuomba tusianike mchele kwenye kuku wengi. Tukutane INBOX!Nimeinstall theme ya wp nahitaji msada wa kufanya setting