Ni miaka mingi sasa kijiji chetu kimekua kikisumbuliwa na panya waharibifu walikua kero kwa wanakijiji.
Lakini sasa kijiji chetu kimepata mwenyekiti aliyenunua njiwa mwenye uwezo wa kuwatafuna panya wote waharibifu.
Ombi langu kwa wanakijiji wenzangu ni kumuombea mwenyekiti wetu na njiwa wake waweze kua salama kutokana na wawindaji haramu wa njiwa.