Napenda sana story hii,KAMBONA mtu makini aliyetengwa na huenda angeuwawa kama asingekimbia,changamoto za leo ktk taifa zisingekuwapo mana kambona aliziona mapema,na huenda kiuchumi na siasa tungekuwa mbali zaidi ya kenya,kwani alitaka mfumo wa vyama vingi uwepo! mungu ampumzishe kwa amani,AMIN.