Tzhacker 000
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 659
- 690
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuiroot ili kitokee nini?
Kuroot MTK ni kujikaribishia majanga tu.Kama ni mgeni wa kuroot soma hizi kwanza[emoji116]
Jinsi ya ku unlock bootloader kwenye tecno
Twende sasa
MAHITAJI
Kompyuta
Recovery
Super SU
Vcom drivers
SP flash tool
Baadhi ya mahitaji yapo kwenye makala za nyuma,kwahiyo hapa tutakupa Recovery na Super SU tu. Pakua[emoji117] TWRP ,ipo mfumo wa rar,ndani ya hiyo rar kuna faili 2 ndani,SuperSU-v2.82.zip na TWRP.rar.
Hapo chukua SuperSU hamishia kwenye hifadhi zako iwe ya ndani au hifadhi ya kumbukumbu[memory card] kisha utafungua faili la TWRP ili kupata ile scatter file,ukishafungua zima simu yako na kisha chukua kompyuta yako nenda kwenye flash tool tafuta ile scatter file ielekeze kwenye Download
Ikishakaa bofya Download na Recovery itakua imekaa sehem yake,hakikisha imeloada na kufika 100% na utaona tik kubwa hapo chomoa simu yako washia kwenye recovery mode kisha nenda kasakinishe[install]ile Super Su baada ya hapo anzisha[reboot]simu yako na unakuwa umemaliza kazi.
Hata mimi sielewagi unaroot MTK ili iweje?Kuiroot ili kitokee nini?
Hakuna kabisa mbadala nduguKwa tusiokua na PC hakuna njia mbadala
Nashukuru nduguHakuna kabisa mbadala ndugu
Kwanini unasema hivyoHata mimi sielewagi unaroot MTK ili iweje?
Ningependa kukuelewa unamaanisha nini ili tutembee pamoja,Ukisha root then unafanyia nini hio root. Binafsi naona rooting is useless kwa sasa hasa kama hio simu ina android nougat pre-installed. Sasa kuna app gani ambayo itagoma humo kwa mtumiaji wa kawaida wa simu hadi ahitajie ku root?
Pole sanaUkisha root then unafanyia nini hio root. Binafsi naona rooting is useless kwa sasa hasa kama hio simu ina android nougat pre-installed. Sasa kuna app gani ambayo itagoma humo kwa mtumiaji wa kawaida wa simu hadi ahitajie ku root?
Kwa tusiokua na PC hakuna njia mbadala
Root permissions ni kwa android tu... Ndio ipo Open sourceMkuu hata Nokia lumia 520 au 630 unaweza kuiroot na wanaroot kiaje