Njia rahisi ya ku-root smartphone yoyote

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Hamjambo? Hebu na mimi leo nijifanye IT specialist.

Kama unataka ku-root simu yako, fuata steps hizi:

1. Download and install MOBOGENIE PC kwenye laptop au PC
2. Connect simu yako kwenye PC au laptop yenye mobogenie PC kwa kutumia USB cable. Fuata maelekezo yatakayojitokeza mpaka uone maandishi PHONE CONNECTED
3. Ukifanikiwa step 2, click MY PHONE, itakuja menue ya PHONE MANAGEMENT
4. Kwenye phone management, click ONECLICK ROOT. Subiri kidogo utaona maandishi PHONE ROOTED. Kwisha!!

Nipe LIKE ukifanikiwa
 
ndo maana nimeinstil OGwhatsapp inaniambia ni root phone nikawanafikiria kumbe ndi ivo!!!! ngoja nijaribu bct
 
hiyo mobogenie nimeitumia sana,iko poa,ila kama avast ndo antivirus yako kwenye laptop au pc yako,avast itaikataa. hata kama utai disiable hiyo avast itakuletea message imeing'oa nje mobogenie software yako.

Nje ya avast mobogenie iko poa and friendly.
 
ulie root cm yake kwA hiyo njia aje atuambie kama ni true
 
hiyo mobogenie siyo kweli..nlishaitumiaga lakini simu ikagoma kutoa root access..nikajaribu tena holllla
nikaachana nayo nkapiga njia ya uhakika ngoma ikatiki..
 
Asa faida ya kuroot simu ni zipi

Halafu na apps au data zilizopo kwenye simu zitakuwa safe au ndo zinapotea na kuweka upya?

Ahsante
 

Ifunge Avast kabla hujaanza download, usiifungue hadi umalize ku-install.
 
Aaaah mbona njia ndefu io download app inayoitwa .ROOT MASTER AF click root baas
 

Samahani,nini faida ya ku root smartphone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…