SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,450
Karibu sana mkuu. Tuwe pamoja!Thanks mkuu naisubiri kwa hamu
Na kweli kaka maana tuna vingi sana vya kutupa msongo wa mawazo.Ahsante ngoja tupate pa kupuMzikia
Usijali mzee. Nashukuru sana kwa kuja. Notajitahidi niweke bayana hayo unayosema.daah safi steve itaanza lini na umesema ni mara mbili kwa wiki ni vyema ukataja hizo siku na saa zake. tunasubiri uhondoView attachment 483873
Ni heshima sana kuwepo kweny taglist yako, asante sana nishakaribia Mkuu, haujawahi kosea nakuamini sanaHabari zenu wakuu. Poleni sana na siasa za gonga kichwa za nchi hii.
Baada ya kumaliza simulizi yetu ile tamu ya BARADHULI MWENYE MIKONO YA CHUMA, sasa basi nawakaribisha kwenye kigongo kingine kitakachoenda kwa jina la NJIA NYEMBAMBA.
Simulizi hii mandhari yake ni huko Sierra Leone, Guine na Liberia. Ikigusia makundi ya uasi na mikono meupe na meusi iliyo nyuma ya haya tunayoyaona kwenye siasa za Afrika.
"Unachoona na kusikia kinatangazwa kwenye vyombo vya habari. Unachosikia kiongozi wako mkuu anasimamia na kukihutubia. Havionekani na mboni yako hiyo macho, wala havisikiki na ngoma yako hiyo ya masikio." - NJIA NYEMBAMBA (2017)
Tukae mkao wa kula. Itakuwa inarushwa mara mbili kwa juma!
Kwa tahadhima naomba niwaite wafuatao. Na kama nawe wapenda niwe nakutag, basi karibu sana.
Shunie Ilankunda1234 @Jumachief @babunamjukuu @kalubule faplo18 Ochuanilove skfull saneneto @coffeea Clkey Prisss @chiquititta @EvaristMassawe kisukari @ganjagal mwena mkorinto Jackal ADK
Compact Slim5 kulubule kisukari anthonysamanii jaxonjaxon @iddyeba @virusaby
☆Steve
santee tivu naingojea kwa hamuHabari zenu wakuu. Poleni sana na siasa za gonga kichwa za nchi hii.

Usikonde kabisa mkuu.Usinisahau Mzee babaa Kuni tawisee..!! [HASHTAG]#KuniTag[/HASHTAG]
nakosaje tivuNlijua utakuja.
☆Steve
Mkuu usinisahau na mie kwenye kunitag ili nipate mema ya nchi ya liberiaHabari zenu wakuu. Poleni sana na siasa za gonga kichwa za nchi hii.
Baada ya kumaliza simulizi yetu ile tamu ya BARADHULI MWENYE MIKONO YA CHUMA, sasa basi nawakaribisha kwenye kigongo kingine kitakachoenda kwa jina la NJIA NYEMBAMBA.
Simulizi hii mandhari yake ni huko Sierra Leone, Guine na Liberia. Ikigusia makundi ya uasi na mikono meupe na meusi iliyo nyuma ya haya tunayoyaona kwenye siasa za Afrika.
"Unachoona na kusikia kinatangazwa kwenye vyombo vya habari. Unachosikia kiongozi wako mkuu anasimamia na kukihutubia. Havionekani na mboni yako hiyo macho, wala havisikiki na ngoma yako hiyo ya masikio." - NJIA NYEMBAMBA (2017)
Tukae mkao wa kula. Itakuwa inarushwa mara mbili kwa juma!
Kwa tahadhima naomba niwaite wafuatao. Na kama nawe wapenda niwe nakutag, basi karibu sana.
Shunie Ilankunda1234 @Jumachief @babunamjukuu @kalubule faplo18 Ochuanilove skfull saneneto @coffeea Clkey Prisss @chiquititta @EvaristMassawe kisukari @ganjagal mwena mkorinto Jackal ADK
Compact Slim5 kulubule kisukari anthonysamanii jaxonjaxon @iddyeba @virusaby
☆Steve
mkuu usinisahau kwenye tag listHabari zenu wakuu. Poleni sana na siasa za gonga kichwa za nchi hii.
Baada ya kumaliza simulizi yetu ile tamu ya BARADHULI MWENYE MIKONO YA CHUMA, sasa basi nawakaribisha kwenye kigongo kingine kitakachoenda kwa jina la NJIA NYEMBAMBA.
Simulizi hii mandhari yake ni huko Sierra Leone, Guine na Liberia. Ikigusia makundi ya uasi na mikono meupe na meusi iliyo nyuma ya haya tunayoyaona kwenye siasa za Afrika.
"Unachoona na kusikia kinatangazwa kwenye vyombo vya habari. Unachosikia kiongozi wako mkuu anasimamia na kukihutubia. Havionekani na mboni yako hiyo macho, wala havisikiki na ngoma yako hiyo ya masikio." - NJIA NYEMBAMBA (2017)
Tukae mkao wa kula. Itakuwa inarushwa mara mbili kwa juma!
Kwa tahadhima naomba niwaite wafuatao. Na kama nawe wapenda niwe nakutag, basi karibu sana.
Shunie Ilankunda1234 @Jumachief @babunamjukuu @kalubule faplo18 Ochuanilove skfull saneneto @coffeea Clkey Prisss @chiquititta @EvaristMassawe kisukari @ganjagal mwena mkorinto Jackal ADK
Compact Slim5 kulubule kisukari anthonysamanii jaxonjaxon @iddyeba @virusaby
☆Steve
Steve, ngoja nvute tuu ka mkeka maanake stori zako mtu akiwa juu ya sturi anaweza angukaHabari zenu wakuu. Poleni sana na siasa za gonga kichwa za nchi hii.
Baada ya kumaliza simulizi yetu ile tamu ya BARADHULI MWENYE MIKONO YA CHUMA, sasa basi nawakaribisha kwenye kigongo kingine kitakachoenda kwa jina la NJIA NYEMBAMBA.
Simulizi hii mandhari yake ni huko Sierra Leone, Guine na Liberia. Ikigusia makundi ya uasi na mikono meupe na meusi iliyo nyuma ya haya tunayoyaona kwenye siasa za Afrika.
"Unachoona na kusikia kinatangazwa kwenye vyombo vya habari. Unachosikia kiongozi wako mkuu anasimamia na kukihutubia. Havionekani na mboni yako hiyo macho, wala havisikiki na ngoma yako hiyo ya masikio." - NJIA NYEMBAMBA (2017)
Tukae mkao wa kula. Itakuwa inarushwa mara mbili kwa juma!
Kwa tahadhima naomba niwaite wafuatao. Na kama nawe wapenda niwe nakutag, basi karibu sana.
Shunie Ilankunda1234 @Jumachief @babunamjukuu @kalubule faplo18 Ochuanilove skfull saneneto @coffeea Clkey Prisss @chiquititta @EvaristMassawe kisukari @ganjagal mwena mkorinto Jackal ADK
Compact Slim5 kulubule kisukari anthonysamanii jaxonjaxon @iddyeba @virusaby
☆Steve
Unavyooniita hivyo shunnie wanikumbusha mbali. [emoji1]nakosaje tivu