maswamediacentre
Senior Member
- Jan 7, 2014
- 160
- 21
CHADEMA WAMTELEKEZA MGOMBEA UBUNGE WAO CHALINZE
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.
Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.
We ilikuwa lazima u comment??
Nini tatizo lako uelewa mdogo au ufuasi wa kisiasa? hata refa wa mpira huwa anakuwa ni mpezi moja kati ya timu anazochezesha, lakini hafanyi hayo ya kwako. Jaribu kuwa mjinga ni rahisi kuelimika
CHADEMA WAMTELEKEZA MGOMBEA UBUNGE WAO CHALINZE
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.
Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.
hizi ni porojo tu, rais wa zanzibar na tanganyika wawe na gesi mafuta na dhahabu, rais wa muungano awe na jeshi bila mafuta na gesi siatamtimua mwenzie ili nayeye afaidi ndo jk alikuwa akimaanisha.
msikilize wewe si hatuna shida nae
CHADEMA WAMTELEKEZA MGOMBEA UBUNGE WAO CHALINZE
Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.
Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.
huyu mhuni tu mbona wakati wa nyerere alifyata mkia.Angekomaa wakati ule tungemwelewa.