Nakupongeza pia ila nishakaa huo mkoa takriban miaka 6Wadau ni matumaini yangu hamjambo na mna afya njema.
Tafadhari naomba kuelezwa nje ndani kuhusu mkoa wa Shinyanga hasa mjini, tabia za watu wa kule na mazingira ya kuishi kwa ujumla. Pia bila kusahau gharama za maisha za kule na usalama wa raia na mali zao.
Natarajia kwenda huko hivi karibuni kuna project binafsi naenda kufanya.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kwa usafiri wa baiskeli inabidi nika taliiNakupongeza pia ila nishakaa huo mkoa takriban miaka 6
Watu huko wakarimu sana
Vyakula bei rahis sana
Kama mdau wa totozi Kuna sehemu inaitwa bakurutu hapo wanapatikana kwa wingi sana
Kuna club butiama,level 4 Kuna
Kuna mitaa
Ngokolo
Majengo mapya
Lubaga
Bushushu
Kitangiri
Mwasele
Bugweto
Ibnzamata
Na Maeneo mengne kama mpnz wa rosti ya kichwa cha mbuzi bas kongoro mitumbani
Nyama ya mbuzi ya kutosha ibnzamata huko Kuna mahakama ya mbuzi
Upande wa ofisi za serikali central polisi inaangaliana na uhamiaji mkoa na mahakama ya wiliya na mkoa na vyote vinapakana kuanzia ofisi za mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,RPC ,OCD mahakama zote ziko sehemu moja unatembea kwa miguu tu
Usafiri wa kule asilimia kubwa baiskel Phoenix na pikipiki
Stand ziko mbili ibnzamta na mjini nauli za baiskel range ya 200- 700
Kama unalingne hapo nimekupa mwanga wote wa shy mjini hapo ningekupa na vijijin lakin utajua huko huko tu.
Nenda kataaaliii tu huko Nina wana kibao hapo shy townKwa usafiri wa baiskeli inabidi nika talii
Asante sana mkuu, hivi ndio nilikua nataka.Nakupongeza pia ila nishakaa huo mkoa takriban miaka 6
Watu huko wakarimu sana
Vyakula bei rahis sana
Kama mdau wa totozi Kuna sehemu inaitwa bakurutu hapo wanapatikana kwa wingi sana
Kuna club butiama,level 4 Kuna
Kuna mitaa
Ngokolo
Majengo mapya
Lubaga
Bushushu
Kitangiri
Mwasele
Bugweto
Ibnzamata
Na Maeneo mengne kama mpnz wa rosti ya kichwa cha mbuzi bas kongoro mitumbani
Nyama ya mbuzi ya kutosha ibnzamata huko Kuna mahakama ya mbuzi
Upande wa ofisi za serikali central polisi inaangaliana na uhamiaji mkoa na mahakama ya wiliya na mkoa na vyote vinapakana kuanzia ofisi za mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,RPC ,OCD mahakama zote ziko sehemu moja unatembea kwa miguu tu
Usafiri wa kule asilimia kubwa baiskel Phoenix na pikipiki
Stand ziko mbili ibnzamta na mjini nauli za baiskel range ya 200- 700
Kama unalingne hapo nimekupa mwanga wote wa shy mjini hapo ningekupa na vijijin lakin utajua huko huko tu.
Ndio nipo mitaa ya IbinzamataUnapatikana Shy mkuu?