Acha wivu wewe wivu unaua mkuu.wanaenda washazeeka:coffee:
Niwaonee wivu ili iweje,hilo ndio tatizo hamtaki kuambiwa ukweli,mtu akisema ukweli ooo ana wivu,mfano hai ni Machupa unajua nini kimempata au ushabiki maandazi tu:coffee:Acha wivu wewe wivu unaua mkuu.
Nizar ana miaka 22 etiee?>
Niwaonee wivu ili iweje,hilo ndio tatizo hamtaki kuambiwa ukweli,mtu akisema ukweli ooo ana wivu,mfano hai ni Machupa unajua nini kimempata au ushabiki maandazi tu:coffee: