ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
hapana mzee , bali ni kwa neema tu,wewe pia karibu
naku watch, naku look, naku see....... Ukijaribu tu.........!!!!!!!
my cousin hawa watu wanamatatizo ndo maana mzee wa upako jana channel ten aliwasema sana hawa wanaume kwa tabia zao mbaya wewe mwangalie tu huyo naona ameshajisahau kama wa kwangu naye yaani sijui waharidhiki na nini hawa?
umezidi sana ndugu yangu huoni kuwa tabia hiyo ni mbaya na haimpendezi muumba wako wewe kazi yako ukipata vijisent ndo unapagawa kiasi hicho na bado watakutoa roho ndo uone kuwa kaburi ni shimo au sehemu ya kufunikwa watu.
Bishanga niko Didis masaki, nikigeuka kushoto oh bishanga kam zis wei,nikigeuka kulia jamani bishanga long time no see,nikigeuka nyuma darling bishanga naomba ela nikatoe mimba yako,mbele yangu namwona Kongosho kala kungu mtotonwa kike kalegea......ushauri tafazali naondokaje eneo la tukio mtoto wa kiume mie?
Cc: Mtambuzi
yaani wewe kumbe ni kiboko ona hii ishu inimeibamba kule gazeti la jf soma mwenyewe hapakweli wewe ni noma sana kumbe tabia hii tangia zamani
"bishanga afumaniwa na mwanafunzi kwenye gari,ni mtoto wa baba mwenye nyumba wake"
ladyfurahia hivi unafurahiaga nini?
naku watch, naku look, naku see....... Ukijaribu tu.........!!!!!!!
Huyu ndo konnie original wengine fotokopi!
Acha kumsingizia bana....
Nimekuhamu
Hebu kuja hivi tutete
Mmh naogopa kuonwa mwenzio!