Niuzie smartphones

Niuzie smartphones

Iphone lak nne😳😳...ipo iphone 5s apa used lak 8 na nusu
 
Nichek nikuuzie samsung s4 white 16gb ila ongeza elf 50000
 
duka kubwa 0717203376. Zipo simu nyingi mpya wats p kwa maelezo zaidi.
 
Wakuu nahitaji iphone Samsung au Nokia budget 400000

Kuna watu mnapenda sana mitumba aisee, kwa hela hiyo si unapata simu nzuri tu dukani? Kama upo Dar sema nikuunganishe na rafiki yangu yupo Nokia Tz, atakupa simu kali sana!
 
Wakuu nahitaji iphone Samsung au Nokia budget 400000

Kaka NENDA MLIMANI CITY KM UPO DAR KWENYE DUKA LA VODA KANUNUE,,,,,MI JJUZI NIMENUNUA NOKIA LUMIA 625 KWA LAKI NNE NA NA AROBAINI MPYA NA WARRANTEE WAMENIPA YA MWAKA MMOJA
 
Kaka NENDA MLIMANI CITY KM UPO DAR KWENYE DUKA LA VODA KANUNUE,,,,,MI JJUZI NIMENUNUA NOKIA LUMIA 625 KWA LAKI NNE NA NA AROBAINI MPYA NA WARRANTEE WAMENIPA YA MWAKA MMOJA

Mpaka leo kaka unatumia tu lumia? Umetokea mkoa gan wewe.
 
Kuna watu mnapenda sana mitumba aisee, kwa hela hiyo si unapata simu nzuri tu dukani? Kama upo Dar sema nikuunganishe na rafiki yangu yupo Nokia Tz, atakupa simu kali sana!

Inategemea unataka simu gani mfano nataka iphone 5 au 5s kwa 400k dukani ntazionaga lakini naweza pata used kwa ela niliyonayo, kitu muhimu ni kwamba usinunue simu used kwa bei ambayo utapata simu hyo hyo ikiwa mpya.
 
Ni pm nikupe samsung s3 original with all accessories ina 2 month imetoka nje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom