J JEMEDARI .H. JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 341 Reaction score 63 Nov 22, 2016 #1 Nina laki 2 ninahitaji simu inayovalue mwenye mayo text me 0655398198
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,587 Reaction score 14,356 Nov 23, 2016 #2 Upo wapi?
U Udart JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 487 Reaction score 780 Nov 23, 2016 #3 Mi nina note1 ongeza 20 hapo nikupe fasta0657536080
black chinese JF-Expert Member Joined Aug 1, 2016 Posts 1,148 Reaction score 1,229 Nov 24, 2016 #4 Ni pm nikupe kitu kipya cha samsung j1 100 double line...
MWANAJAMIA Member Joined Oct 21, 2016 Posts 47 Reaction score 45 Nov 24, 2016 #5 Kuna huawei y3ii yenye 4g network Nipe 180000 tu nikupe Nicheki whatsapp 0659505081
charleslee JF-Expert Member Joined Aug 4, 2016 Posts 408 Reaction score 201 Nov 24, 2016 #6 Njoo na laki tu nikupe tecno p5+ PM
Princep JF-Expert Member Joined Nov 25, 2016 Posts 586 Reaction score 848 Nov 27, 2016 #7 Ninayo tecno w4 nitakupa kwa bei hiyo.
mwerevu mwenye busara Senior Member Joined Oct 23, 2016 Posts 144 Reaction score 94 Nov 29, 2016 #8 Samsung J1 ace original haijamaliza hata mwaka km upo interested njoo pm
Mido Finga Member Joined Oct 28, 2016 Posts 67 Reaction score 81 Nov 29, 2016 #9 Kuna samsung s3 bado ipo katika hali nzuri
Sadiki Abdallah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 885 Reaction score 583 Nov 29, 2016 #10 JEMEDARI .H. said: Nina laki 2 ninahitaji simu inayovalue mwenye mayo text me 0655398198 Click to expand... NikuuZie yangu m3 nitakupunguzia
JEMEDARI .H. said: Nina laki 2 ninahitaji simu inayovalue mwenye mayo text me 0655398198 Click to expand... NikuuZie yangu m3 nitakupunguzia
Malaika wa Kifo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 4,089 Reaction score 4,733 Nov 29, 2016 #11 JEMEDARI .H. said: Nina laki 2 ninahitaji simu inayovalue mwenye mayo text me 0655398198 Click to expand... Tecno w4 unahitaji?
JEMEDARI .H. said: Nina laki 2 ninahitaji simu inayovalue mwenye mayo text me 0655398198 Click to expand... Tecno w4 unahitaji?
F Field Marshal JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 414 Reaction score 280 Nov 29, 2016 #12 Microsoft window 535 kama upo tayari check me.
profesawaaganojipya JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 1,596 Reaction score 3,441 Nov 29, 2016 #13 Huawei y530 laini Moja,,inakubali mitandayo yote,,kwa 150000/=:0717964524
robert sendabishaka JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 3,142 Reaction score 3,338 Nov 29, 2016 #14 kama ni mgonjwa, amepewa dozi kupindukia. mleta mada kama ulifanikiwa kupata kati ya ulizowekewa, leta mrejesho: ukurasa utajaa maana humu ni zaidi ya gulio. hata ukitaka simu kwa mafungu utauziwa.
kama ni mgonjwa, amepewa dozi kupindukia. mleta mada kama ulifanikiwa kupata kati ya ulizowekewa, leta mrejesho: ukurasa utajaa maana humu ni zaidi ya gulio. hata ukitaka simu kwa mafungu utauziwa.