Niuzie smartphone kwa 100000

Tizeba

Member
Joined
Aug 17, 2017
Posts
12
Reaction score
5
Wakuu kwa yeyote ambae ana smart ambayo bado IPO kwenye hali nzuri.

Napenda iwe bado mpya,kuna MTU nimemuahidi kumnunulia simu mpya lakini bajeti yangu imeishia hapo.

Bajeti:100,000/=
Nipo Dar
 
Wakuu kwa yeyote ambae ana smart ambayo bado IPO kwenye hali nzuri.

Napenda iwe bado mpya,kuna MTU nimemuahidi kumnunulia simu mpya lakini bajeti yangu imeishia hapo.

Bajeti:100,000/=
Nipo Dar
Nitafute nmekuonea huruma leta lak na arobaini nikupe Samsung s4 kwa bei ya bure hiyo.... 0712770729 Au 0685580057

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwa yeyote ambae ana smart ambayo bado IPO kwenye hali nzuri.

Napenda iwe bado mpya,kuna MTU nimemuahidi kumnunulia simu mpya lakini bajeti yangu imeishia hapo.

Bajeti:100,000/=
Nipo Dar
Nipo Dar nauza lenovo A6000 ila kwa laki 2.5 ila ukija ukaiona utaipenda tutaelewana ni pure original mpyaaas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanunue mpya,utauziwa mabovu tu ujute,wasema kweli wachache sana,cheap gharama
 
mimi nauza X-Tigi V_10.
bei ni shilingi laki moja. maelewano yapo.. 0628 380 353
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…