niuzie smart phone kwa bei poa

niuzie smart phone kwa bei poa

josby

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
85
Reaction score
1
Natafuta any smart phone ya bei poa kabisa na iliyopo katika hali nzuri
 
Ukiweza ni pm nauza my sony xperia miro kwa bei ya kutupa.
 
Nauza Sony ericsson xperia ARC bei ni laki 3,ina 8,gb ukubwa wa kamera 8 ni HD, apps zilizomo ni kama FB,Twitter,watsapp,istagram,dj choka app na nyingine kibao kwa more info ni pm...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom