Wanajamvi nina jiko langu la gesi la mtungi mdgo linanitesa ,,
Nilikua napika likagoma kufunga gesi inatoka mfululizo ukzungusha kufunga inazunguka tu bila kuzima nkaamua niitoe burner kabsa ,nkajarbu burner nyingne kuweka tu gesi ikaanza kutoka kwa kas ukipunguza wala kuizma haikubal shda nn wadau nitoeni ushamba