nitoboeeee

Imaeshakuwa kawaida kwa wakati tulionao. Cha muhimu naye angetoa simu yake akachati ili iwe ngoma droo kuliko kuwaza kuivunja mana mwisho wa siku ni hasara na itambidi agharamikie ununuaji wa simu nyingine au angejilalia.
 
That is today's modern life style,bora waturudishie mi simu yetu ya mezani kuliko hivi visimu vya mkononi balaa tupu.
 
Imaeshakuwa kawaida kwa wakati tulionao. Cha muhimu naye angetoa simu yake akachati ili iwe ngoma droo kuliko kuwaza kuivunja mana mwisho wa siku ni hasara na itambidi agharamikie ununuaji wa simu nyingine au angejilalia.
Siyo ushauri mzuri huo
 
Amayeweza kukomesha hiyo tabia ni CHIKUNDA peke yake hapa BONGO
 
Huyu nae kahamisha mwili akaacha moyo alipotoka........

Sema mama kamaliza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…