wana jf, naombeni msaada wenu tafadhali.
Unahitaji msaada gani? Kama ni mfadhili subiri watajitokeza.naombeni msaada wenu tafadhali.
msiwe mnapenda kutoa majibu ya ujumla kama mafungu ya viazi. kama huna uhakika si mtu unasema hujui.Wafathili mbona wapo. Kuna shirika hapa hapa tanzania zinazotoa sponsor. Kuna shirika za dini,makampuni,watu binafsi nk. Cha msingi usikate tamaa kuendelea kutafuta
Wafathili mbona wapo. Kuna shirika hapa hapa tanzania zinazotoa sponsor. Kuna shirika za dini,makampuni,watu binafsi nk. Cha msingi usikate tamaa kuendelea kutafuta
Unataka ufadhili hata mock tu hujafanya pombav sana. Ukigonga zero itakuaje? Fanya mtihani tuone matokeo ndo uongee hayo unayoongea.

mkuu acha matusi bac....umejuaje kam hajafanya mock bado? ungemuulza kwanza...maana kanda ya masharik na nothern zone tayari washafanya mock na majibu yashatoka....kanda ya kusini pekeake ndo bdo haijafanya mock...upo mkuu?
nashukuru sana ndg yangu kwa kumueleza, mi niko kanda ya mashariki na matokeo tayari yameshatoka, kwenye PCM nna ESA, na grade zilizotumika ni zile za
A 80-100
B 75-79
C 65-74
D 55-64
E 45-54
S 39-44
F 0-38
Kwenye physics na chemistry tatizo lilikuwa hasa kwenye practicals, na nilipokuwa likizo nimelifanyia kazi. lakini pia nilikuwa sijamaliza baadhi ya topics kwenye hayo masomo, kazi ambayo ndo naifanya sasa na sina shaka hadi tunaingia kwenye mtihani nitakuwa nimekamilisha hivyo nina matumaini makubwa ya kufanya vizuri. hivyo mwenye kujua vyuo vinavyotoa kozi hiyo na mashirika yanayoweza kunipatia ufadhili nitamshukuru sana, kwani nataka nijipange ili nikimaliza mtihani nijue nafanya nini.