Nitawezaje kufanya partition kwenye HDD

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
825
Reaction score
161
RIVEwana JF NAOMBA ANAYEJUA JINSI KUGAWA HARD DRIVE DISK KUWA MBILI AU TATU LOCAL DRIVE DISK ,NASHUKRU SANA KWA WENYE KUFAHAM WANIELEKEZE ASANTE
 
beba njo nayo upate msbda wa haraka uku njoohttps://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/
 
hiyo lugha unayoongea duh.

Google: "Partition Master Free - EASEUS Partition Manager" hafu download ile link ya kwanza. Utainstall hafu follow simple instructions to do partition without kuweka windows upya!
 
Tafuta application yaitwa partition magic.
 
waweza tumia hizo apps umeambiwa hapo juu, au bila apps njia ifuatayo

Right click kwenye My Computer, (original icon sio shortcut)
Click kwenye option imeandikwa Manage,
Click Disk Management
Itakuletea Disk zako, angalia disk unayohitaji kuipunguza size ili kuweka partition mpya
Right click afu click Shrink volume,
Subiri muda flani icalculate amount unayoweza kushrink, ikimaliza itakuletea option ya kushrink volume kiasi unachotaka, hapo ingiza amount unayotaka hiyo Disk yako mpya iwe nayo. Ukimaliza click shrink, itatokea kama unallocated space, right click hiyo unallocated space then click New Volume, hapo ipe volume yako mpya size unayotaka, then next, umemaliza, disk yako mpya utaikuta My Computer.
 
hiyo lugha unayoongea duh.

Google: "Partition Master Free - EASEUS Partition Manager" hafu download ile link ya kwanza. Utainstall hafu follow simple instructions to do partition without kuweka windows upya!
Asante sana mkuu
 
asante sana mkuu ushauri wako umenifaa
 

Lkn njia hii haihitaji formatting ya hdd
 
TWENDE STEP BY STEP KWA WINDOWS 7
Step 1.Click Start, then peleka Cursor kwa "Computer" alafu bonyeza "manage"




2. Baada ya hapo click "disk management" hapo itapopulate volumes zilizopo kwenye computer yako, kama hukuwahi kuwa na partition basi itakuletea mbili tu, kama unazo tayari zitakuja zote, ikiwamo na ile ambayo imejificha <system Reserve volume>



3. Kile ki VOLUME cha kwanza usihangaike nacho kabisaa, click ile nyingine ya pili ndo HDD halisia ya kuifanyia partition, kama mfano wa picha hii, iyo disk ya pili (iliyokuwa SHADED)..ndio tunayoifanyia partition hapa



4. Sasa nenda kwa volume hiyo ya pili alafu, kama nlivoielekeza hapo juu, alafu right click bonyeza "shrink volume" hapo computer inaipopulate HDD na kutazama kama kuna uwezekano wa kufanya partition ndani ya hiyo volume
NOTE: Partition bila software kama hii tunayoifanya hapa, haitakiwi kupungua 5GB, so kama HDD itakuwa chini ya 5GB hutoweza kufanya partition.



5. Ile stage ya kufanya shrink volume huchukua muda kutokana na kiwango cha data zilizopo kwa HDD na disk space ilyobaki, sasa ikimaliza tunaendelea ...>>>ikimaliza itakuletea amount of disk space to shrink, sasa hapo unaweza weka wewe utakavyo, ukiacha ivo ivo sio mbaya kwa maana by default huigawa disk space iliyobaki nusu kwa nusu....kama hivi



6. Sasa baada ya hapo, italeta amount of disk space "unallocated" hiyo itakuwa na label nyeusi, na hapo sasa inakupasa u ALLOCATE hiyo volume ili ionekane kwenye computer.....



7. Baada ya hapo right click kwa iyo volume yenye label nyeusi, alafu click "new simple volume" baada ya hapo ni kubonyeza NEXT.... NEXT.. NEXT...NEXT.....FINISH, tayari kwisha habari yake, hapo sasa utaona disk imeongezeka, zitakuwa tatu yaani, ile ya system ambayo hatuigusi, HDD ya kwanza ambayo ni drive C: na volume iliongezeka inakuwa imeandikwa "NEW VOLUME"



#ComplexSystemTanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…