Nitawezaje kudownload series ya Arrow season 3

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,326
Reaction score
1,990
habari wana jf?
naomba msaada wenu ni wapi nitapata hiyo seson nzima niweze kuidownload?
nashukuru sana wakuu
 
Bado haijatoka season nzima now wanarelease episodes tu. Ipo episode5 now utapata torrents
 
Ipo episode ya kwanza mpaka ya tano zi google utazipata..
 
Episodes nzima utaipata hadi next year... Kila week wanarelease episode mpya.
 
jamani wenzangu mnatumia torrent ipi kudownload maana mimi torrent nazo tumia ni utorrent na bittorrent lakini zote zinaishia.kwenye connecting peers bhasi yani hata sijui nifanyaje naombeni msaada wenu jamani wana jf.
 
tumia hii ndio kiboko-> torrent2exe
 
jamani wenzangu mnatumia torrent ipi kudownload maana mimi torrent nazo tumia ni utorrent na bittorrent lakini zote zinaishia.kwenye connecting peers bhasi yani hata sijui nifanyaje naombeni msaada wenu jamani wana jf.

Kabla ya kudownload hakikisha una bundle na speed ya kutosha.....pia angalia number of seeders kwenye huyo torrent file...the large number the fast and better torrent file
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…