Komaa nae akiringa kula kwato,, hamna kubembelezana nowadays
jaribu kutumia na uongo pia
Eeee amwambie atamnunulia ndege
Komaa nae akiringa kula kwato,, hamna kubembelezana nowadays
jaribu kutumia na uongo pia
jaribu kutumia na uongo pia
[h=1]ndioalishawahi penda awali.Arejeshe upendo kwako, kwani aliwahi kupenda awali?
Msome tu uone kama ana ka hisia hata kadogo. Kama kapo usimpe nafasi, kuwa karibu yake hadi aone umuhimu wako hivi hapa unakuwa unamjengea kukutegemea kihisia. Ukishaona amekuzoea kila saa anakutafuta, jua ushapata maksi. Mkumbushe unachotaka kwake ni penzi, afu ukiona haeleweki, anza kumpotezea. Mpotezee hadi a feel absence yako, hofu ya kukupoteza lazima 'aelekee kibra'
mwambie kuwa unataka kumuoa na uko tayari kujitambulisha kwao. Usiombe game, atajua ni walewale. Wakati huo huo usiwe bahili just try to make her happy . Mpe zawadi za bei ya kawaida.mwalike kwa mitoko(outings) maeneo ambayo sio hatarishi mfano beach, restaurant hata kwenda shopping,nk. Hapa namaanisha usimwalike maeneo yenye gesti/hoteli za kulala atajua unataka kula mzigo. Akikubali mtoke, epuka kumshawishi kunywa pombe unless anataka mwenyewe asije akafikiri unamuandalia mtego. Hata ikitokea akanywa mrudishe kwao salama bila kumgegeda. Pia mkiwa mnapata vyakula na vinywaji usiongelee tu mapenzi jitahidi kuongelea mambo ya kawaida ya maisha.mfanye kama rafiki kuliko mpenzi. Epuka kumshikashika kihasarahasara. Labda kum hug na kumshika mikono basi. Majonjo mengine yatafuata baadaye. Uwe mvumilivu sana baadaye anaweza kujenga imani na wewe. Kisha ndoa.