Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
- Thread starter
-
- #2,401
Ulitumwa ulinde kumbekama alitoweka bila kuaga ndio utake kumfanyia haya ninayoyaona
hivi unajisikiaje unavyotaka kuvunja ndoa ya watu lakiniAkimtaka my Wii inatoshaa
HeheheeMume kwani kamuoa na weweeee
Nakuonaa nakuonaaame si binti jaman
kamuoa ndio na we unadanganywa unakubaliMume kwani kamuoa na weweeee
Hahahaha kisa na mkasa jamanikwani we bibi
Hahahathe prince,utakua our princess
Ahhh my WiiUliza taratibu bhasi
Eeenh hivi vigeo gani umeambiwa kuhusu huyo mwarabu si bure ujueMy wii bhana
NakwambiaMbn unashadadiaa
Si ulimwita Kaka lake aje hapa kututishia fimbomimi tena
Aiseeeethe prince,utakua our princess
Huyu ni dada angu ujue tunamtambua TMbn unashadadiaa
Namtaka Sakayotunamtaka T hao waarabu wataftie waarabu wenzio
Mdogo wangu, kuna ubaya jamani kuwa na rafiki MwarabuAisee kweli mwarabu kakugusa
Lolhuo uwiiii ukome
Unaniona niniNakuonaa nakuonaaa
Mbona unanitisha tenaaKwani T alishawahi kukupiga au sababu umetamanishwa na mwarabu nenda kakutane na jini
MmmmhNdioooo