hakujuiShemeji acha hizi harakati zako..
Sakayo ni mke wangu wa ndoa..!
Naamini tutumie njia za kidiplomasia kumaliza hili..
Mwambie Arabian Queen aache hizi pilika pilika zake...!
Nitafumua huu uzi sasa hivi...!
Hahahah Shunie mchonganishi ww
Hahaha jamaniii mbona unaanza kunitisha.Mwambie Arabian Queen aache hizi pilika pilika zake...!
Nitafumua huu uzi sasa hivi...!
Shemeji acha hizi harakati zako..
Sakayo ni mke wangu wa ndoa..!
Naamini tutumie njia za kidiplomasia kumaliza hili..
Hahahah Shunie mchonganishi ww
HahahahaShunie wewe vibaya hivoo
AiseeeeMbona kamkubali kaka angu jamani
Hahaha jamaniii mbona unaanza kunitisha.
Ntaanza kukuogopa sasa
Tushakubaliana mm na sakayo atii.Aiseeeekaka ako yupii sakayo ni kweli haya
mpaka nje jf shauri yakoNdoa ya jf au
sakayo ukuje hizi habari ni mpya kwanguTushakubaliana mm na sakayo atii.
Sakayo upo tayari kwa dude litakalo hamsha.Liamshe dude
Haya mama tayari umeamua kufanya maamuzi magumu.Naiacha ,jus nadelete app