Nini eti, sio jambo la kitaifa unauguliwa wewe, simba inapeperusha bendera ya Tanzania [emoji1241], hivi kumbe hujui kwamba simba akifuzu hapo kuna rank tutazipata toka CAF na pia kujitangaza zaidi, wewe kweli jiweManara alianza kumkashifu Zahera toka alipo anza kazi yanga....na sio zahera tu ilifika kipindi mpaka jina la zahera akaligeuza likawa la kike.....na fikra kabisa zahera amekasilika kwa kauli za manara....
Alafu manara ameshindwa kutambua Simba kucheza na Vital sio jambo la kitaifa kitaifa ni mechi yetu dhidi ya Uganda...
Huwezi ukasema mechi ya taifa zima wakati mashabiki wengi wa Yanga hawapo pamoja na simba.....HUU NI MPIRA yeye adeal na Timu yake tu.....
Mbona wenzetu nje unakuta mtu anaenda kwenye mechi kwa kumsapoti rafiki au ndugu yake na haileti shida...
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije ukatupeleka kwa spika wa bunge la afrika kusini! Alisema ni neno la kawaida, mbunge akampiga nalo spika wacha ang'ake fasta "mheshimiwa mbunge futa kauli"Siyo kila anayeitwa mpumbavu katukanwa wengine ni wapumbavu kweli
Huoni kama Zahera ametengenezewa uadui? Kwa kuaminishwa mashabiki kuwa anaihujumu?Lakini Haji kamtuhumu Zahera, na Zahera kasema kweli yuko nao As Vita na siyo kosa lakini Zahera kamtukana Haji kwamba ni Mpumbavu sasa Kama wewe ungekuwa hakimu kesi imekuja kwako usuluhishe au uhukumu unaanza na nani hapo?? Na pia nani anatugawa wana mpira Zahera au Haji,??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema mbumbumbu......Vyura tu ndo hawatakuja kumuelewa Manara! Ila sie madume ya Simba tunamuelewa sana Comrade Haji Manara!!! Yes, we can!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kumshabikia msukule wenu maana hata nyie anawatukana kila siku,ila cos Ragge alishasema mashabiki wengi ni mbumbumbu basi haina shida sheikh
Yanga Yanga mpira kafungwa AS Vita nyinyi mnawashwa na nini? Huyo Zahera wenu alidhani anawajua sana Simba basi atawasaidia AS Vita? Zahera na Yanga yake walipingwa na Simba.Manara ni mpumbafu ndio kwani uongo? Zahera ana kosa gani angekua ni mtanzania anafanya hayo kweli tungestuka sasa jitu linaonekana wazi ni papaa linakupa shida ya nini kama sio upumbavu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Manara amepost maneno na kumuonya Zahera eti ameonekana na timu ya AS Vita Club swali 1.Zahera amevunja sheria ipi ya mpira 2.Mamlaka yapi yanampa Manara kutoa kauli hizo 3. Anawahadaa na kuwaandaa mashabiki WA Simba kuwa wakifungwa tatizo ni Zahera
Kwa kauli hizi zinaweza kuleta ghasia kwenye soka na kuhatarisha maisha ya makocha wa kigeni
Manara kashaaribu psychology ya wachezaji wa Simba. Nina uhakika ushindi wa simba ni droo. Kwani hapo kashaona wa kuangushia lawama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wamekutia hao wakongo mpk saiv umell hjaamka shenziVita sasa hivi wanajipaka Mundende kwenye madushe yao ili ifikapo saa1 kamili mpaka tatu kasoro waanze shughuli ya kuwakojolesha mpaka mmwage maji kama Wahaya.
Sent using Jamii Forums mobile app