Huu uzi wa kitambo imebidi niufufue kuliko kuanzisha mwingine,swali ni lilelile uhitaji ni ulele.
Naweza pata wapi hili dish la kuoshea vyombo.
Ukubwa wa mashine na bei yake.
Nipo Dar.