Nitapata lini!

jaribu uwe unakaa nae sehemu ya faraga alafu usioneshe nia ya kumtaka kimapenzi wakati wa mazungumzo yenu myafanye mkiwa mmesimama alafu tumia mwanya huo kumkumbatia ukimuweka kifuani jaribu kuongea maneno matamu huku ukimpapasa taratibu na mabusu ya hapa na pale then zama mfukoni mtoe na msimbazi mwambie kapande tax uwai nyumbani atakua kakuzoea siku nyingine akija ushindwe mwenyewe kuvua pichu yake na kuchomeka gobole
 
Toboa godoro uichomeke,mwache binti wa mwanaume mwenzio.
 

ndo kinin thatha
 
Kabla hamjakutana na kutongozana mwezi mmoja uliopita huo mzuka ulikuwa unautolea wapi? Unaonaje ukarudi kuutolea huko huko na umwache binti aendelee kutunza bikira yake kwa ajili ya mme wake wa baadaye?
 
Kwa muda wa mwezi tu unataka papuchi,si ndo nyie kwa muda huo mtu akitaka kujua hatma ya mahuciano mnadai mapema sana!acha kuvuluga kichwa cha binti wa watu.
 
hizo ni mbinu za wasichana wa mjini kutafuna hela mkuu anadanganya anabikra ili umdhamini uone we ndo unaenda kufungua huku anakula vyako siku ukienda unakuta watu walishapita sana tu.
 
mwache kwanza then na wewe anza kuandaa nguvu za kupiga siku mkikubaliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…